Huyu
ndie kijana aliyewashangaza watanzania baada ya kuruka senyenge za
uwanja wa Taifa na kuingia uwanjani kwenda kumpiga Hug mchezaji wa
Brazil KAKA . watu walishangaa sana kwani haikujilikana kwa hafla jama
katokea kwa wapi. hafla yupo uwanjani wakati bado soka inaendelea
kupigwa ..Yeye alitaka kumpa Hug kaka tu basi ili atimize ndoto zake.
Kijana Nagari Kombo (kushoto), akisindikizwa na askari
kanzu, wakitoka Kituo Kikuu Polisi (Police Centre), Dar es Salaam jana
mara baada ya Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman
Kova, kutangaza kumpatia dhamana na suala lake kupelekwa Shirikisho la
Mpira wa Miguu nchini (TFF) na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa
Uwanja wa Taifa kwa ajili kushughulikiwa kwa sheria zinazotawala mambo
ya michezo. Kwa mujibu wa Afande SKova, Kombo atakuwa nje kwa dhamana
huku akitakiwa kuripoti mara moja kila wiki katika kituo hicho wakati
suala lake likishughulikiwa. . Kombo akiwa kwenye gari na babake (kulia) pamoja na
Askari kanzu wakielekea Polisi Chang'ombe kupewa dhamana. michuzi blog
0 comments:
Post a Comment