Meneja
Mahusiano kwa Umma wa kampuni ya Huawei Jin Liguo akiongea na waandishi
, Walimu na Wanafunzi wa Shule ya msingi Chuda wakati wa sherehe za
kukabidhi kompyuta 10 zenye inteneti ya bure ya Tigo kwa shule hiyo
iliyopo mkoani Tanga, Msaada huo ulitolewa na Kampuni ya Tigo
kushirikiana na Kampuni ya Huawei. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Tigo
kanda ya Pwani Goodluck Charles ,Mwalimu Mkuu wa Shule ya Chuda Omari
Masukuzi na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula.
Mkurugenzi
wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles akikabidhi msaada wa Kompyuta
zenye intaneti ya bureya Tigo kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Chuda
Mkoani Tanga Bw. Omari Masukuzi hiyo ni moja kati ya kompyuta 10
zilitolewa na kampuni ya Tigo pamoja na Huawei kwa shule hiyo.
Wanaoshuhudia wa pili toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula
Said Magalula, Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Huawei Jin Liguo na
kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe.Abdallah Suleiman.
Mkurugenzi
wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles akiongea na waandishi , Walimu
na Wanafunzi wa Shule ya msingi Chuda wakati wa sherehe za kukabidhi
kompyuta 10 zenye inteneti ya bure ya Tigo kwa shule hiyo iliyopo mkoani
Tanga, Msaada huo ulitolewa na Kampuni ya Tigo kushirikiana na Kampuni
ya Huawei. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Magalula
Said, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Chuda Omari Masukuzi.
Wanafunzi
wa shule ya Msingi Chuda Mkoanin tanga wakipokea Kompyuta kwa niaba ya
wenzao ambazo zilitolewa na kampuni za Tigo na Huawei.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Mkoa
wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula akiongea na waandishi , Walimu na
Wanafunzi wa Shule ya msingi Chuda wakati wa sherehe za kukabidhi
kompyuta 10 zenye inteneti ya bure ya Tigo kwa shule hiyo iliyopo mkoani
Tanga
Mwalimu
wa shule ya Chuda Bi.Teddy Simba akipokea simu kwa niaba ya wenzake
toka kwa Mkoa wa Tanga Mhe.Magalula Said Magalula. Simu hizo zitawaweza
walimu wa shule hiyo kuweza kuwasiliana wao kwa wao na kuperuzi
intaneti bila gharama yeyote kwa kupitia mtandao wa Tigo.
0 comments:
Post a Comment