Marehemu Patrick Mafisango enzi za uhai wake
Ramadhabni Wasso akiwa na huzuni.
Beki wa zamani wa klabu ya Simba, Ramadhani Ramadhani Wasso akiwa akiwa na huzuni baada ya kufika katika chumba cha kuhifadhia maiti asubuhi hii.
Mshambul;iaji wa Simba Haruna Moshi 'Boban' akiingia katika chumba cha kuhifadhia maiti asubuhi hii kuangalia mwili wa mshambuliaji wa Simba Patrick Mafisango aliyefariki kwa ajali ya gari.
Bobani akiwa na Said Kokoo
Ramadhani Wasso akijaribu kuchungulia kupitia mlango kuangalia mwili wa Patrick Mafisango kupitia uliokuwa umehifadhiwa katika chumba cha maiti asubuhi hii.


Gari lilosababisha kifo cha Mshambuliaji wa kimataifa wa mabigwa wa soka Tanzania na Bara Simba SC,Patrick Mutesa Mafisango Leo Alfajiri Picha na Mdau Francis Dande-Muhimbili
---
HABARI TULIZO ZIPOKEA ASUBUHI HII ZINAPASHA KUWA MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA WA MABINGWA WA SOKA TANZANIA BARA SIMBA SC, PATRICK MUTESA MAFISANGO, NA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA RWANDA AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA MAENEO YA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM ALFAJIRI YA SAA 10 BAADA YA GARI ALILOKUWA NA WENZAKE KUTUMBUKIA MTARONI NA YEYE KUFARIKI PAPO HAPO.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMEN




0 comments:
Post a Comment