SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 4, 2015

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA KILELE CHA SIKU YA SHERIA

Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo wakati akitembelea mabanda ya maonyesho ya kisheria katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.Katikati ni Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman,Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar,Mh. Omar Othman Makungu wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Sehemu ya Majaji.
Sehemu ya Majaji wastaafu wakishiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliohudhulia.
Sehemu ya Wanasheria
 Baadhi ya viongozi wa dini kutoka madhehebu mbali mbali wakitoa baraka zao katika maadhimisho hayo.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Wadau wa maswala ya Sheria.
Wanahabari wakiendelea kurekodi tukio zima la Siku ya Sheria.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman wakifurahi jambo na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI

0 comments:

Post a Comment