Muwasilishaji
Toka Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Feruzi Mtika akiongea na waajiriwa
wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu aina ya
Mafao wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati wa Semina
iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Muwasilishaji
toka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bi. Evelyne Kusenga akiwaeleza waajiriwa
wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu Mafao
na faida wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati wa Semina
iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko Toka Mfuko wa Pensheni
wa PPF Bw. Martin Modigadi akiwaleza jambo watumishi wapya wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa semina elekezi kuhusu
mifuko ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Toka Mfuko
huo Bi Abela Luo.(Martha Magessa)
Afisa Toka Mfuko wa Pensheni wa PSPF
Bi. Hawa Kikeke akiongea na Waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo kuhusu Faida watazopata iwapo watajiunga na mfuko
huo, leo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Meneja Masoko wa Mfuko wa
Pensheni wa LAPF Bw. Arnold Kagaruki akiongea na watumishi wapya wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa semina elekezi
kuhusu mifuko ya pensheni leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali watu wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akiwaeleza jambo
waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo wakati wa semina elekezi kuhusu mifuko ya pensheni leo Jijini
Dar es Salaam.
Watumishi wapya wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo waliohudhuria Semina hiyo wakiwasikiliza
wawasilishaji toka mifuko mbalimbali ya pensheni leo Jijini Dar es
Salaam.
(Picha na Hassan Silayo-WHVUM)
0 comments:
Post a Comment