 |
| Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi
wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU unaofanyika katika
ukumbi wa Kuringe. |
 |
| Mkurugenzi
mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk Edward
Hosea akizummza wakati wa Mkutano wa mkuu wa mwaka wa viongozi wa
TAKUKURU . |
 |
| Mkurugenzi wa idara ya elimu TAKUKURU ,Marry Mosha akitoa neno la shukurani mara baada ya mgeni rasmi kufungua mkutano huo. |
 |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akiteta jambo na Mkurugenzi wa TAKUKURU Dk Edward Hosea. |
 |
| Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kilimanjaro pia walikuwa waalikwa katika mkutano huo. |
 |
| Baadhi ya washiriki katika mkutano huo. |
 |
| Dk Hosea akitoa zawadi kwa mgeni rasmi RC ,Gama. |
 |
| Makundi mbalimbali yakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huo. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
0 comments:
Post a Comment