Majaji
wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama
Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa
kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika
kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na
Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich)
Mmoja
wa washiriki waliofika kwaajili ya kuonyesha vipaji akiwa mbele ya meza
ya majaji akionyesha uwezo wake wa Kuigiza wakati wa mashindano ya
Kuonyesha Kipaji cha kuigiza
Mmoja
wa kijana mwenye umri mdogo kabisa akivalishwa namba kwaajili ya
kushiriki kwenye shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania
lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambapo kwa siku ya leo
limefunga sehemu ya usaili
Baadhi ya vijana waliofika leo kwaajili ya kushiriki katika shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania
Kipaji.