Rais
wa Chama cha Wataalamu wa Macho hapa nchini(TOA) Frank Magupa
(kushoto)akimwelezea ubora wa miwani ya Kibo Mwakilishi wa mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu katika hafla
ya uzinduzi wa miwani ya Kibo
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa miwani aina ya Kibo yenye
gaharama nafuu kwa wananchi,sense ya 2012 inaonyesha kuwa mkoa wa Dar
es Salaam,unawakazi zaidi ya Miliono Nne, na takwimu ya zilizotolewa na
Mratibu wa Afya wa Dar es Salaam,kuanzia mwaka 2010 hadi 2013
zinaonyesha kuwa jumla ya wananchi 39,863. Wanaishi na ugonjwa wa Macho.
Shirika la Holden Vision Institute na Taassisi ya wanaoptometria hivi
karibuni walizindua miwani aina ya Kibo ambayo gaharama yake ni nafuu
Mwakilishi
wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu
akiongea na wananchi waliohufika katika uzinduzi wa miwani ya Kibo
Ofisa
Mkazi wa Shirika la Brien Holden Vision Institute hapa nchini Eden
Mashayo ,akiongea kuhusioana na utoaji wa huduma za kupima macho na
kupewa miwani ya Kibo
Wafanyakazi
wa Shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute
wakiwa ,katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mwakilishi wa mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens .Baada ya kumalizika
kwa uzinduzi wa miwani ya Kibo , uliofanyika katika viwanja vya Free
Market jijini Dar es Salaam.
NA MICHUZI MATUKIO BLOG