Mgombea
ubunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete, akizungumza na waandishi
wa habari mara baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo
yaliyotangazwa usiku wa kuamkia leo,. ambapo Mgombea huyo ameibuka na
ushindi wa kishindo kwa jumla ya kura 20, 000 kati ya 24, 000,
zilizopigwa katika uchaguzi huo jana.
Haya
ni matokeo jimbo la Chalinze:-
CCM katika kata za ; Mkange CCM 1262
Chadema 126 Cuf 33, NRA 2 , AFP 5, Mandela CCM1394, Chadema112, CUF8,
AFP 6 na NRA 2 Kata ya Lugoba CCM1574, Chadema 194, CUF 4NRA 4 na AFP 4,
Kata ya Kiwangwa CCM 420, Chadema 22, CUF 5 NRA na AFP 0, Kata ya Msoga
CCM 1248, Chadema 68, CUF 9,NRA 4, AFP 6, Kata ya Fukayosi CCM 934,
Chadema 63, CUF 15, AFP 6 na NRA 2, Kata ya Mbwewe CCM 1319, Chadema
169, CUF 123, NRA na AFP 0