Mwandaaji wa Onesho la Style Motomoto Khadija Mwanamboka akimpa zawadi ya pongezi Mbunifu wa mavazi Farha Sultan ambaye mavazi yake yalitawala Onesho hilo katika Hotel ya Double Tree jijini Dar.
MC Taji Liundi Cat walking.
Irene Kiwia on the Stage.
Irene Kiwia (kushoto) akiwa na mmoja wa Models aliyevaa ubunifu wake.
Wadau wa mavazi wakifuatilia Onesho hilo.
Na Mo Blog
0 comments:
Post a Comment