Masanduku ya Kura za Maoni yakiwa na Kura
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikwete akiomba kura na kunadi sera zake
Wanacham wa CCM Bagamoyo wakijipanga tayari kupiga kura
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikweteakipiga kura yake
Kutoka Kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kutoka Wilaya ya
Bagamoyo, Ridhiwani Kikwete, na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya
Yanga, Iman Madega.
-
Taarifa zinasema matokeo ya kura za maoni yanaonesha:
Waliopiga kura ni 1,321.
Kura halali ni 1,306.
Kura zilizoharibika ni 5.
*Rizwani amepata kura 758
*Imani Madega Amepata Kura 335
*Athuman Ramadhan Maneno- Amepata Kura 206
*Changwa Mohamed mkwazu -Amepata Kura 12
0 comments:
Post a Comment