Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Lord Mandelson Ikulu jijini
Dar es Salaam leo.Lord Mandelson amewahi kushika nyadhifa za uwaziri
katika serikali ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu Tony Blair na Gordon
Brown.Lord Mandelson kwa sasa ni mwenyekiti wa taasisi ya Global
Counsel.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Lord Mandelson, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Lord
Mandelson amewahi kushika nyadhifa za uwaziri katika serikali ya
Uingereza chini ya Waziri Mkuu Tony Blair na Gordon Brown.Lord Mandelson
kwa sasa ni mwenyekiti wa taasisi ya Global Counsel.Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Post a Comment