Kiongozi Mstaafu wa CCM, Pius Msekwa
----
Kiongozi Mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema endapo vyama vya
upinzani vikiungana na kuweka mikakati makini ya muda mrefu, vinaweza
kuking’oa CCM madarakani.
Akizungumza kwenye mahojiano maalumu na mwandishi
wetu jana, Msekwa alisema kwa mtindo wa sasa wa vyama vya upinzani kila
kimoja kusimama peke itakuwa ndoto kukishinda CCM.
“Kama vyama vya upinzani vinataka kuwe na upinzani
wenye nguvu dhidi ya CCM ni lazima viungane vyote. Tena viweke
mikakakati ya muda mrefu ya kujiimarisha,” alisema Msekwa kwenye
mahojiano hayo.
Kwa habari zaidi Bofya na Endelea=====>>
0 comments:
Post a Comment