SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 18, 2013

TMF YAENDELEA KUWANOA WANAHABARI JUU YA UBORESHAJI WA UANDISHI WA MITANDAONI

nbsp;Mwezeshaji  Beda Msimbe  akiendelea  kuwanoa  wanahabari  wamiliki wa mitandao ya  kijamii nchini ambao  wanapatiwa mafunzo  na  TMF
Wanahabari  wa vyombo mbali mbali na  wamiliki wa mitandao  ya  kijamii (Blog) wakiendelea na mafunzo  yao ya siku nne  katika  ukumbi wa Dodoma  Hotel  leo,mafunzo  yaliyolenga  kuboresha uandishi wa mitandao ya kijamiiWanahabari  wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini Dodoma.
Mmoja  kati ya  wawezeshaji  wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo  mzee  wa matukio daima kushoto na wamiliki wa blog wengine  wakiwa katika  darasa la mabloga leo
Mwanahabari Brandy  Nelson  akijitambulisha  kabla ya mafunzo  hayo ya TMF  ambayo bila  shaka  yataongeza ubora  wa blog  nchini Tanzania.
NA FRANCIS GODWIN BLOG

0 comments:

Post a Comment