Furaha ya Kumeremeta
Mdau
Yona Robert Kibela akiweka saini katika kitabu cha hati ya ndoa baada ya
kumeremeta na Mai waifu wake Vaileth Godfrey katika Kanisa la
Maxmillian Kolbe la Mwenge jijini Dar es salaam na baadaye wakaelekea
kwenye mnuso wa nguvu kwenye ukumbi wa Skyline Motel Mbezi Makonde
Bi harusi akiweka saini katika kitabu cha hati ya ndoa
Maharusi na wapambe wao baada ya kumeremeta
Wamependeza....
Wapambe wanaume na maharusi
Wapambe wanawake na maharusi
Bi harusi na wapambe wake
Yona na Vaileth wakipozi
Si mnaonaaaaa....
MA MICHUZI MATUKIO
MA MICHUZI MATUKIO
0 comments:
Post a Comment