Mwenyekiti wa timu ya soka ya Simba Ismail Aden Rage pamoja na waalimu wawili wa timu hiyo Abdala Kibaden na Jamhuri Kiwelu wamesimamishwa kazi na kamati ya utendaji ya timu hiyo huku mwenyekiti huyo akiwa nje ya nchi.
Wednesday, November 20, 2013
Ismail Rage na waalimu wawili wa Simba wasimamishwa kazi.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Wednesday, November 20, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment