Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Warsaw,
Poland, kuhudhuria mkutano wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Kyoto kuhusu
mabadiliko ya Tabia Nchi ulioanza Jana Jumanne Novemba 19, 2013.
Picha na
IKULU
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
0 comments:
Post a Comment