SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 14, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEWA KWA SHANGWE IRINGA KUHUDHURIA MAADHIMISHO NYA KILELE YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea Shada la Maua Muda mfupi baada ya kuwasili  uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea saluti kutoka kwa kijana wa skauti muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru skauti muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
 
 Taswira mbalimbali za Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akislaimiana na viongozi mbalimbali wa ulinzi na usalama muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa jana alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Hbaa, Vijana na Michezo Amos Makala muda mfupi baada ya  kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM alipowasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika Leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kamanda wa vijana Iringa Mhe Asas katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika leo(Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Iringa mjini Mhe Msigwa katika  Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika leo(Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa jana Oktoba 13, 2013 kuhudhuria Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenye wa Uhuru, Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere zitaziofabyika leo (Oktoba 14, 2013) katika uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. 
  PICHA NA IKULU.
---
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Iringa jioni ya Jana, Jumapili, Oktoba 13, 2013, kwa ziara ya siku mbili ya kikazi mkoani Iringa. Rais Kikwete amefuatana na Mama Salma Kikwete.

Shughuli kubwa ambazo Mheshimiwa Rais atazifanya wakati wa ziara hiyo ni kushiriki Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka huu wa 2013 na Kilele cha Wiki ya Vijana.

Ndege iliyombeba Rais Kikwete ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Nduli mjini Iringa kiasi cha saa 12.20 jioni na kulakiwa na umati mkubwa wa wananchi wakiwemo wafuasi wa vyama vya siasa vikiwamo CCM na Chadema.

Ends

0 comments:

Post a Comment