DARAJA LA MPIJI SASA LAPITIKA
|
GREDA LIKIWA KAZINI KUTENGENEZA DARAJA LA MPIJI |
|
MFANYAKAZI WA TANRODI AKIRUHUSU MAGARI KATIKA DARAJA LA MPIJI LEO |
|
WAFANYAKAZI WAKIENDELEA KUJENGA DARAJA LA MPIJI |
|
ENEO LA MWENGE HALI ILIVYO BAADA YA MVUA KUNYESHA |
|
ABIRIA WA LIOSHUKA KATIKA DALADALA MWENGE WAKITEMBEA |
|
HII NDI HALI YA VIBANDA VYA BIASHARA MWENGE |
|
HALI YA MWENGE HIVI SASA |
|
MFANYAKAZI
WA OFISI YA DAWASA ILIYOPO TEGETA AKIPELEKWA OFISI KWA KUTUMIA BATI NA
DUMU LA MAJI LEO OFISI YA DAWASA IMEJAA KUTOKANA NA MVUA KUBWA |
|
MENEJA
MIPANGO WA DAWASA AKITOKA OFISINI LEO AKIPELEKWA NA BATI HUKU AMEKALIA
DUMU LA KUTOKANA MAJI YALIYOJAA KWENYE OFISI ILIYOPO TEGETA LEO |
|
MENEJA MIPANGO WA DAWASA AKITOKA OFISINI LEO AKIPELEKWA
NA BATI HUKU AMEKALIA DUMU LA KUTOKANA MAJI YALIYOJAA KWENYE OFISI
ILIYOPO TEGETA LEO |