Mwandishi na mtangazaji wa ITV, Ufoo Saro akiwa hospitali ya taifa ya muhimbili
Katika tukio hilo linalodaiwa kufanywa na mzazi
mwenzake, Anthery Mushi ambaye alijiua baadaye, pia anadaiwa kumuua mama
yake Ufoo, Anastazia Saro.Ufoo alipigwa risasi moja tumboni na kutokea
kwenye mbavu na nyingine ilipita kifuani hadi kwenye ziwa lake la kulia
na kutokea kwenye mkono wa kulia.
Baada ya tukio hilo, Ufoo alipelekwa katika
Hospitali ya Tumbi, Kibaha kabla ya kuhamishiwa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili ambako alifanyiwa upasuaji.Kwa habari zaidi bofya na Endelea..........
0 comments:
Post a Comment