Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei (kulia) akizungumza na Jamii
Production ndani ya ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa nchi za Marekani na Mexico uliopo Jijini Washington DC
Jumatano
ya Oktoba 9, 2013, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRBD Dr Charles
Kimei akiambatana na Mkurugenzi wa Masoko wa (CRDB) Tully Mwambapa, Bw.
Mkurugenzi wa Hazina (CRDB) Alex Ngusaru na Msaidizi wa Dk.Kimei ,
Kenneth Kasigila walikuwa jijini Washington DC (pamoja na mambo mengine)
kueleza mipango ambayo CRDB inayo katika kuboresha huduma za akaunti ya
Tanzanite pamoja na kutambulisha huduma mpya ya JIJENGE.
Jamii Production ilipata fursa ya kuhojiana na Dr Kimei ambaye amefafanua mengi kuhusu huduma hizo.
KARIBU UUNGANE NASI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei na akipata picha na mpiga picha mkuu wa Jamii Production Abou Shatry baada ya mahojiano.
0 comments:
Post a Comment