SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, October 16, 2013

Taswira za Sala Eid Al-Adhw-haa 2013 Marekani

Waumini wa Jumuiya ya Kiislamu (Tanzanian Muslim Community Washington DC ) wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.
 Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Waumini wa Tanzanian Muslim Community Washington DC  wakipata picha baada ya sala   ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.
Cheif wa swahilivilla Abou Shatry  (wakwanza kushoto) akipata picha ya pamoja na  Abuu Qullatein (wakwanza kuli)  baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland. Ofisa wa ubalizo wa Tanzania Nchini Marekani Bwna Suleiman Saleh alisalimiana na Deddy Rouba pamoja na Rais wa Jumuiya ya waTanzania washington DC Iddi Sandaly  baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 15, 2013 msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US. Ofisa wa ubalizo wa Tanzania nchini Marekani Bwna Suleiman Saleh (watatu kushoto) pamoja na Rais waJumuiya ya waTanzania Washington DC Iddi Sandaly, Deddy Rouba (wakwanza kushoto) Sheikh Moddy (wapili kulia) pamoja na Abuu Qullatein (wakwanza kuli) wakipata picha ya pamoja baada ya sala ya  Eid Al-Adhw-haa Ofisa wa ubalizo wa Tanzania nchini Marekani Bw. Suleiman Saleh, wapili kushoto, Cheif wa swahilivilla Abou Shatry  (wa kwanza kushoto) akiwa na  Shamis Alkhatry (wa pili kulia) , pamoja na  Abuu Qullatein (wa kwanza kulia) Auntie Asha Akida akiwa na mdhamini wa pindo lake pamoja na Rais waJumuiya ya waTanzania Washington DC Iddi Sandaly.

0 comments:

Post a Comment