SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, October 15, 2013

KISIMA CHA AJABU MKOANI DODOMA‏

KISIMANI 1 f3a53
Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika kijiji cha Iyumbu pembezoni mwa Chuo Kikuu cha Dodoma
[UDOM].


MAJI 1 fb354
Baadhi ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi kilichopo katika kijiji cha Iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa na eneo hilo litumike kwa matumizi mengine.
MAJI 2 f8953
Mkuu wa Kimila wa kabila la Kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma. Kisima hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata
mafanikio ya kiafya na kimaisha.
(PICHA NA JOHN BANDA)

0 comments:

Post a Comment