Mabondia Francis Cheka (Kulia) na Japhet Kaseba (Kushoto) Wakiwa tayari kwa mpambano wa l eo.
*****
Mabondia Francis Cheka na Japhet Kaseba leo watapambana katika Tamasha la Matumaini litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabondia hao jana walipima uzito wao katika hoteli ya The Atrium iliyopo Sinza, Afrika Sana jijini Dar es Salaam ambapo kila mmoja amemtambia mwenzake kuwa ataibuka kidedea katika pambano hilo.
0 comments:
Post a Comment