Waziri wa Uchukuzi, Dk.Harrison Mwakyembe akifungua Kongamano la Katiba leo Karimjee Hall.
Viongozi mbalimbali wa vyuo vya elimu ya juu wakifuatilia kwa makini hoja.
Vijana wa Elimu ya juu wakifuatilia kwa makini maoni ya mada mbalimbali kwenye Kongamano la Katiba.
Assenga Abubakar, Mwenyekiti wa Shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu akifuatilia kwa makini mada muhimu katika Kongamano la Katiba. |
Ndugu Christopher Ngubiagayi akitoa yale muhimu kuhusu uelewa wa Katiba katika Kongamano la Katiba lililofanyika leo Karimjee Hall.
---
Umoja wa Wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania (TAHLISO) leo umeratibu Kongamano la Katiba katika ukumbi wa Karimjee na kuhudhuliwa na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali, Mgeni wa heshima katika kongamano hilo ni alikuwa Waziri wa Uchukuzi, DK. Harrison Mwakyembe.
0 comments:
Post a Comment