SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, November 8, 2011

Taswira Za Dhifa Maalum Aliyoiandaa Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Kwa Prince Charles na Mkewe Camilla

 Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo ikulu jana Usiku jijini Dar es Salaam
 Prince Charles akisoma hotuba yake  jana Usiku Ikulu Jijini Dar es Salaam
 Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia Jana usiku  Ikulu jijini Dar es salaam
 Duchess of Cornwall na Prince Charles wakiangalia zawadi waliyopewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete jana Usiku jijini Dar es Salaam
   Rais Dkt Jakaya Kikwete akitoa zawadi ya kinyago ch ‘Ujamaa’ kwa wageni wake
 Prince Charles na mkewe nao wakitoa zawadi kwa wenyeji wao Rais jakaya kikwete na Mama Salma Kikwete Jana Usiku ikulu Jijini Dar es Salaam
 Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake pamoja na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe.
Picha Zote na IKULU

0 comments:

Post a Comment