SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, November 7, 2011

Miaka 50 Ya Uhuru Hata Hajawazito Sasa Tutawapeleka India Kujifungua

 Tunaadhimisha miaka 50 tangu Tanganyika ipateuhuru wake kwa mkoloni, lakini licha ya kujivunia kwa mambo lukuki kuwa TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA SASA NCHI INASONGA MBELE lakini katika hili la afya hasa wodi za akina mama waja wazito bado hatujaweza kuondoa kero ya vitanda na wodi katika Hospitali zetu nyingi. 
Serikali haina budi kuamka sasa na kunadi shangingi 1 kila Wizara au Taasisi kubwa ili kununua hata vitanda na kujenga Wodi za akina mama hawa. Isipofanyika hili haraka itafikia hatua kiongozi fulani akitaka kujifungua atapelekwa India maana huduma zetu hazikidhi kiwango.
Credit to Mrokim(Father Kidevu)

0 comments:

Post a Comment