
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu Mtoto wa Malkia Prince Charles

Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zulia jekundu huku vijana wakiwashangilia ikulu jijini Dar es Salaam Leo Asubuhi

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiowapokea Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Camilla Duchess of Cornwall Ikulu leo asubuhi jijini Dar es salaam.

Mama Salma Kikwete akiwa na mke wa Prince Charles Camilla, The Duchess of Cornwall ikulu jijini Dar es Salaam Leo Asubuhi

mke wa Prince Charles Camilla, The Duchess of Cornwall akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kalaghe ikulu jijini Dar es Salaam Leo asubuhi

Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika maongezi na wageni wao Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Camilla,Duchess of Cornwall Ikulu leo asubuhi jijini Dar es salaam.

Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao Mtoto wa Malkia Prince Charles na Mkewe Camilla,Duchess of Cornwall Ikulu leo asubuhi jijini
Dar es salaam.
Picha na IKULU




0 comments:
Post a Comment