Rais
Jakaya Kikwete(Kulia)akimkaribisha Ikulu Balozi wa Ujerumani nchini
Tanzania Klaus-Peter Brandes na baadae kufanya nae mazungumzo ikulu
Jijini Dar es Salaam Leo
Rais
Jakaya Kikwete akiongoza Kikao Maalum cha Wadau wa Sekta ya Nishati
Nchini kilichofanyika ikulu Jijini Dar es Salaam Leo.
(Picha na Freddy
Maro-IKULU)
0 comments:
Post a Comment