Mbunge
wa Jimbo la Kinondoni Iddy Azani akimvisha mkanda wa ubingwa
unaotambuliwa na chama cha mchezo wa ngumi za kulipwa PST bondia Japhet
Kaseba baada ya kumtwanga Maneno Oswald kwa Point jijini Dar es salaam
Mabondia
Japhet Kaseba(kushoto) akipambana na Maneno Oswald wakati wa mpambano
wao wa ubingwa wa PST uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda
kwa pointi..
Bonda
Japhet Kaseba akiwa na washabiki wake baada ya kutangazwa mshindi
katika pambano la kuwania ubingwa wa ngumi za kulipwa nchini dhidi ya
Maneno Oswald.
Picha Zote na Superdboxingcoach
0 comments:
Post a Comment