SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, October 1, 2011

HAPPY BIRTHDAY BROTHER SHERIA NGOWI

Siku kama ya leo alizaliwa Mbunifu wa mavazi,  FOUNDER & CEO Sheria Ngowi Designs (CEO & Founder ''SHERIA NGOWI'') na mwanablog anaitwa Bwana SHERIA NGOWI, wa Nchini TANZANIA. 
Blogu hii inaungana na Familia yake, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote katika kukutakia siku njema iliyo na Furaha, Amani na Upendo, na pia Mafanikio katika maisha yako. 
Mwenyezi Mungu akujaalie Afya Njema,Maisha Marefu, Mafanikio, Busara na Hekima katika siku zote za maisha yako.
HAPPY BIRTHDAY BROTHER SHERIA NGOWI!!

0 comments:

Post a Comment