Mwanamuziki
Mashuhuri kutoka Nchini Marekani Eve E akitia saini kwenye bango lenye
tangazo jipya la Kampeni Kutoka East Afrika Breweries la '' Unywaji
Pombe Kistaarabu ama Responsible drinking

Mwanamuziki Mashuhuri kutoka nchini Marekani Eve E akiwa katika pozi

Msanii Alpha akiwa katika Picha ya Pamoja na Mwanamuziki Eve E


Mwanamuziki
mahiri kutoka nchini Marekani Shaggy akifafanua jambo mbele ya
Waandishi wa habari jijini Nairobi leo kuhusiana na Tamasha la Tusker
All Statrs 2011 litakalofanyika kesho Mjini Nairobi,Kulia kwake ni
Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya EABL-Kenya ambao ndio wadhamini
wakuu wa tamasha hilo


Baadhi
ya wasaniii ambao watashiriki kwenye tamasha la Tusker all stars 2011
hapo kesho, Kutoka kushoto ni msaniii mahiri kutoka nchini kenya Amani
na Jaguar na Alpha

Kulia
ni Mmoja Kati ya Wakurugenzi wa Clouds Entertainment Ruge Mutahaba
akiteta jambo na Mwanamuziki Mahiri kutoka nchini Marekani Shaggy leo asubuhi mjini Nairobi

Baadhi
ya wanamuziki waliojitokeza kuunga mkono kampeni Mpya ya EABL-Kenya
wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanamuziki Mahiri kutoka nchini
Marekani Eve E(Wa Pili Kushoto) na Kwanzia Kulia ni Shanggy,Cabo
Snoop,Msechu na Davies.
Picha Zote na Ahmed Michuzi-Nairobi
0 comments:
Post a Comment