SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, September 26, 2011

Taswira Za Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Na Mama Salma Kikwete Kwenye Uzinduzi Wa Shule ya Sekondari ya Wama Nakayama katika Kijiji Cha Nyamisati wilayani Rufiji

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiwa amefungua pazia ikiwa ni ishara ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wama Nakayama katika Kijiji cha Nyamisati wilayani Rufiji katika Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, ambaye ni mlezi wa shule hiyo.
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein (katik) akipatiwa maelezo na Mwalimu Mkuu Twaha Twaha(kulia) (kus) mama Kikwete.
 
Mama Salma Kikwete Na Waasisi Wa UWT Kwenye ufunguzi wa shule ya Sekondari WAMANAKAYAMA.
Mwanafunzi akifuta machozi wakati akiiwa katika sherehe za uzinduzi wa shule ya sekondari WAMA NAKAYAMA.
Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment