
Rais Kikwete akiagana na wafanyakazi wa hoteli ya Jumeirah Essex House jijini New York alipofikia

Rais Kikwete akiagana na mmoja wa maafisa wa hoteli hiyo

Rais
Kikwete akiagana na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii wa Zanzibar Mh
Juma Duni Haji ambaye ni mmoja wa viongozi wa juu walioongozana na
Rais Marekani

Rais Kikwete akipeana mikono na msaidizi wake Dr Ndumbaro

Rais akiagana na dada aliyekuwa mhudumu wake katika hoteli hiyo

Rais Kikwete akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe kabla ya kuondoka

Rais Kikwete akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe


Rais
Jakaya Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Galaxy Corporate Offices Inc Bw
Charles H. Gray na (kushoto) Bw Sonny JW Lee ambaye ni afisa uendeshaji
mkuu wa World Fashion Development Programmes, baada ya maongezi leo
jijini New York, hawa wakiwa wageni wa mwisho kuonana nao kabla ya
kuanza safari ya kurejea nyumbani jana Asubuhi.
Picha Zote na IKULU
0 comments:
Post a Comment