MKE
wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Watoto
yatima wanaolelewa katika nyumba hiyo alipofika kujumuika nao katika
futari alioanda kwa ajili yao.
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamema Shein akijumuika na Watoto
wanaohudumiwa na serikali katika Nyumba ya Watoto yatima Mazizini,
alipofika kujumuika nao katika futari aliowaandalia jana.
Mke
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein, wa pili kushoto, Mke Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha
Balozi Seif na kulia Mtoto Farida Abdalla Ali anayeishi katika nyumba
hiyo na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif
wakimsikiliza mmoja wa watoto wa yatima akitowa shukrani kwa Mke wa Rais
wa Zanzibar baada kufutari.
WATOTO
wa Nyumba ya Serikali ya Watoto yatima Mazizini wakipata futari
iliyoandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
HIVI ndivyo ilivyokuwa katika mambo ya futari nyumba ya watoto mazizini.
Watoto wakijichana kwa msosi maalum kwa ajili yao walioandaliwa na Mama Mwanamwema Shein.
HAYA
hii juice yako ndivyo inavyoonekana akisema muhudumu huyu wa Ikulu kwa
watoto hawa wakijipatia futari katika mjengo wao Mazizini.
(Picha Zote na
Othman Maulid-Zanzibar)
0 comments:
Post a Comment