Mshiriki
wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye alishika nafasi ya pili
katika mashindano hayo, Kombo Bahi Makame kutoka Unguja-Tanzania,
akishiriki mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam leo Agosti 21, ambapo mgeni rasmi katika
fainali hiyo iliyowashirikisha washiriki 14 kutoka nchi za Afrika
Mashariki na kati, alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Mshiriki
kutoka Tanzania, Ibrahim Ramadhan, akishiriki fainali za mashindano
hayo katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo.
Mshiriki
wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye alishika nafasi ya kwanza
katika mashindano hayo, Jahuddin Adam, kutoka Sudan akishiriki
mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es Salaam leo Agosti 21, ambapo mgeni rasmi wa fainali hiyo
iliyowashirikisha washiriki 14 kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati,
alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal.
Mshiriki
wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye alishika nafasi ya tatu
katika mashindano hayo, Mohammad Sad Tawfiq, kutoka Egypt akishiriki
mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini
Dar es Salaam leo Agosti 21, ambapo mgeni rasmi wa fainali hiyo
iliyowashirikisha washiriki 14 kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati,
alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma Hotuba yake wakati wa fainali za mashindano ya kuhifadhi
Qur-an, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam, leo Agosti 21, na kushirikisha jumla ya wshiriki 14 kutoka nchi
za Afrika Mashariki na Kati.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi , Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,
wakati wa fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an, zilizofanyika leo
Agosti 21 kwenye ukumbi wa Diamondi Jubilee jijini Dar es Salaam, na
kuwashirikisha washiriki 14, kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan
Mwinyi, wakati wa fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an,
zilizofanyika leo Agosti 21 kwenye ukumbi wa Diamondi Jubilee jijini Dar
es Salaam, na kuwashirikisha washiriki 14, kutoka nchi za Afrika
Mashariki na Kati.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa fainali za mashindano ya
kuhifadhi Qur-an, Jahuddi n Adam, kutoka Sudan, baada ya kutangazwa
mshindi wa fainali hizo, zilizofanyika leo Agosti 21 katika Ukumbi wa
Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, wakati alipowasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam leo Agosti, 21, kuhudhulia Fainali ya mashindano ya kuhifadhi
Qur-an tukufu iliyofanyika kwenye ukumbi huo na kuwashirikisha
washiriki kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakiwa katika
ukumbi wa Diamondi Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Agosti 21
wakifuatilia kwa makini fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Viongozi
wa dini ya Kiislamu, wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa kwanza
hadi wa tatu wa fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an, baada ya
kutangazwa washindi hao katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo Agosti 21.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Viongozi
wa dini ya Kiislamu, wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an, baada ya kumalizika kwa
mashindano hayo katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo Agosti 21. (Picha
na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais)
0 comments:
Post a Comment