Mwenyekiti
wa Taasisi wa WAMA pia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na
Wajasiriamali Aug 26,2011 jinini Dar es Salaam wakati wa hafla ya
uzinduzi wa uchangishaji wa fedha kwaajili ya Tamasha la Wajasiriamali
(MOWE) 2011 litalofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo mwaka huu
Taasisi ya WAMA ndio mratibu wa Tamasha hilo.Jumla ya zaidi milioni 55
zimechangwa katika hafla hiyo na kauli mbiu ya mwka huu ya MOWE (
MIAKA 50 WANAWAKE WAJASIRIAMALI TUNAWEZA-TUTUMIE FURSA),(kulia ni
Mwenyekiti wa MOWE Tanzania Elihaika Mrema,na (kushoto) ni Mwakilishi
wa Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Consolata I.
Mkurugenzi
wa Shirika la Kazi Duniani nchini Alexio Musindo akizungumza katika
hafla ya uzinduzi wa uchangishaji wa fedha kwaajili ya Tamasha la
wajasiriamali (MOWE) yaani Month of Women Enterprenuers,
Mwenyekiti
wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akipokea vitabu kutoka kwa
muwakililishi kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani
nchini Tanzania Gloria Kavishe(kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa
uchangiaji wa fedha kwaajili ya Tamasha la Wajasiriamali (MOWE) August
26,2011, Vitabu hivyo vimekabidhiwa kwaajili ya kuwasaidia wanafunzi
wa shule ya mfano ya watoto yatima WAMANAKAYAMA iliopo Rufiji mkoa wa
Pwani,
Mwenyekiti
wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akipokea hundi ya shilingi
milioni tano (5m/-) kutoka kwa Mwakilishi wa Bank ya CRDB
(kulia)kwaajili ya kuchangia tamasha la wajasiriamali wanawake (MOWE)
2011 , (aug 26,2011)) jijini Dar es Salaam, Zaidi ya shiligi 55 milioni
zimechangwa.(55,368,500/)
Baadhi
ya Wanawake wajasiriamali wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Slama Kikwete (Aug 26,2011) katika
hafla ya uzinduzi wa uchangishaji wa fedha kwaajili ya Tamasha la
wajasiriamali (MOWE) jijini Dar es Salaam
Picha
ya pamoja ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya MOWE na vbaadhi ya
viongozi wa meza kuu akiwepo Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma
Kikwete.
(Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment