Tanzania Students Association of Acharya (TASAA)wafanya uchaguzi Juzi 17/04/11.
Kupata uongozi mpya.
Na AMANI MASUE
kamati ya uchaguzi ikihesabu kura na mashaidi waliochaguliwa na wadombea |
katibu wa uchaguzi (John mugoya) akitangaza matokeo ya uchaguzi |
wanajumuhiya wakisubiria matokeo kwa hamu. |
Tanzania Students Association of Acharya (TASAA)wafanya uchaguzi jana 17/04/11.
Watanzania wanafunzi wasomao Acharya Institutes,Bangalore,India wamechagua serikali yao kuu ya wanafunzi juzi
Serikali Mpya TASAA (Tanzanian Students Association of Acharya)
- RAIS Sira Mohele
- M/RAIS Abasi Gulamu
- KATIBU Ahamad Rashid
- WAZIRI WA FEDHA NA AFYA Danny Mugoya
- WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI Ramson Chrispin
0 comments:
Post a Comment