H-BABA ANAWAOMBA WADAU WAMPATIE SHOW ZA NJE YA TANZANIA.
H-Baba
Msanii anayewakilisha mkoa wa Mwanza kwenye maswala ya Bongo Bolingo Fleva H-Baba kwa sasa ameamua kufanya mziki wa kimataifa zaidi. H-Baba amesema hivyo baada ya kutoa video yake mpya inayokwenda kwa jina la Shika Kichwa ambayo imekaa kaa ki Congo zaidi na kibongo.
H-Baba kasema "Kwa sasa nataka show za mbali sana, so kama kuna wadau ambao wako mbali na Tanzania nazungumzia africa hii au nje ya africa kwa sasa wanaweza kunipata kupitia e-mail yangu hii: h.mdingi@yahoo.com au kwa simu namba : +255 773 102491

0 comments:
Post a Comment