Mwili wa katibu kata wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya Mgama wilaya ya Iringa vijijini Patrick Ng’ara ukiingizwa chumba cha maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa asubuhi,katibu huyo ameuwawa na majambazi akiwa nyumbani kwake jana usiku.
Mbunge wa jimbo la kalenga Dr.Wiliam Mgomwa (katikati) akiwa na viongozi wa CCM nje ya chumba cha maiti.
Katibu wa CCM wilaya ya Iringa Mohamed Dhikri akiwasiliana na viongozi wengine kuwapa taarifa ya kifo hicho ,hapa ni nje ya chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa.Katibu wa mbunge wa jimbo la Isimani Bw Thom Malenga (kulia) akiwa na dereva wa katibu wa CCM wilaya Bw.Ally nje ya chumba cha maiti Hospitali ya mkoa wa Iringa.
Na Francis Godwin Iringa.
0 comments:
Post a Comment