SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 21, 2011

HAMMIE RAJAB AZIKWA, AACHA SIMANZI!

Hatimaye Mzee Hammie Rajab amezikwa mkoani Morogoro jioni ya jana, katika maziko yaliyofanyika katika makaburi ya Kola, mkoani humo.
Hammie amecha simanzi kubwa kwa wasanii, ambao wengi wao wamekosa nafasi ya kumuaga na kumzika baada ya kuchelewa kupata taarifa zake za kifo na kushindwa kusafiri kwenda Morogoro kwa maziko.
Idadi ya watu waliohudhuria makaburini ilikuwa ndogo kwa sababu mara baada ya mwili kuwasili mjini Moro, wanafamilia walielekea makaburini baada ya muda mfupi.
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Peponi - Amin.
Mtukio na Picha: Bofya

0 comments:

Post a Comment