SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, May 6, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA ‘UNITED BANK OF AFRICA’

Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa ‘United Bank Of Africa’, Ajobola Abiola (katikati) wakati alipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo Lilian Mboja.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa ‘United Bank of Africa’, Ajobola Abiola (wa pili kushoto) na Ofisa wa benki hiyo Lilian Mboja (kulia) na Shiraz Jafar wakati walipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo.
(Picha na Muhidin Sufiani-VPO).

0 comments:

Post a Comment