Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa
Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo
Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Viungo hivyo vimechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
Endelea kufuatilia hapa.
PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG
0 comments:
Post a Comment