Wafanyakazi wanawake kutoka ofisi
mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza maandamano hapo jana
yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini iliyopo Wilaya ya Temeke
na kuishia katika uwanja wa Mwembe Yanga, wakati wa maadhimisho ya
Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi 2014.
Kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani
wakksindikizwa na Bendi ya Polisi wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya
Wanawake Duniani iliyofanyika Jana katika Uwanja wa Mwembe Yanga,
Wilayani Temeke Jijini Dar Es Salaam.
Bendi ya Kikosi cha Kujenga Taifa
nao wakiwasindikiza waandamaji katika Kilele cha Siku ya Wanawake
Duniani yaliyofanyika jana tarehe 8 Machi 2014 katika Viwanja Vya Mwembe
Yanga, Wilayani Temeke, Jijini Dar
Wadau wa Mfuko wa PPF nao wakiwa katika Maandamano
Mgeni Rasmi Bi Hawa Ghasia (wa
pili kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mh Mecky Sadick na
wageni wengine wakiwa tayari kuyapokea maandamano yaliyofika katika
Uwanja wa Mwembe yanga jana wakati wa maadhimisho ya SIkukuu ya Wanawake
Dunia.
Wakazi wa Temeke wakiwa Juu
kushuhudia yaliyokuwa yakiendelea katika Viwanja vya Mwembe Yanga wakati
wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8
Machi 2014 katika viwanja hivyo
Magereza nao hawakuwa nyuma
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari nao wakishangilia siku ya wanawake duniani
Burudani ikiendelea..
Ungo ukipitishwa...Changia Unachoweza..
Burudani kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Mh Said Mecky Sadick akisakata Rumba
Wadau wa PPF wakiserebuka
Doroth Kaiyuzi , Kutoka Chama cha
Wasioona Akisoma Risala mbele ya Wageni Rasmi katika Maadhimisho ya
Sikukuu ya Wanawake yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwembe Yanga, Jijini
Dar Es Salaam, tarehe 8 Machi 2014
Wakazi
wa Jiji la Dar wakitembelea Mabanda mbalimbali yaliyopo katika uwanja
huo wa Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani
hapo tarehe 8 Machi 2014.
Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
0 comments:
Post a Comment