SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA HAPO JANA KATIKA UWANJA WA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM. Show all posts
Showing posts with label SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA HAPO JANA KATIKA UWANJA WA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM. Show all posts

Sunday, March 9, 2014

SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA HAPO JANA KATIKA UWANJA WA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM

 Wafanyakazi wanawake kutoka ofisi mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza maandamano hapo jana yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini iliyopo Wilaya ya Temeke na kuishia katika uwanja wa Mwembe Yanga, wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi 2014.