SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, August 10, 2012

Mmoja wa Washitakiwa Aliyeshitakiwa Pamoja na Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia,Profesa Costa Mahalu, Grace Martine

  Mmoja wa washitakiwa aliyeshitakiwa pamoja na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, Grace Martine (katikati), akisaidiwa na ndugu zake kutoka Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam jana,baada ya kushinda kesi yao ya kuhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya jumla ya Euro milioni 2.Picha na Richard Mwaikenda na  Daniel Mwita

0 comments:

Post a Comment