SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, August 10, 2012

Uzinduzi Wa Operesheni Sangara (CHADEMA)Ifakara Morogoro

 Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dk Wilbrod Slaa Akiunguruma Kwenye Mkutano wa vuguvugu la mabadiliko m4c mkoani Morogoro
 Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Akiunguruma kwenye Mkutano wa vuguvugu la mabadiliko m4c mkoani Morogoro
Sehmu Kubwa ya Umati wa Watu Uliojitokeza Kwenye Kampeni  za vuguvugu la mabadiliko m4c mkoani Morogoro kikianzia wilayani Kilombero na kujizolea mamia ya wanachama kutoka vyamba mbalimbali kikiwemo chama cha Mapinduzi CCM .Picha na Josephat Senga

0 comments:

Post a Comment