SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, May 6, 2011

Uzinduzi Wa NMB Bank House
 Lady Jay Dee akitambulishwa kwa bosi mkuu wa NMB kabla ya kuanza kutumbiza.
 Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifunua pazia kuashiria uzinduzi wa jengo la Bank House lililokarabatiwa upya na NMB kwa ajili ya huduma bora zaidi.
Mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ambayo NMB imetoa kwa hospitali ya saratani ya Ocean road ambako Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dr. Ngoma (wa pili shoto) anapokea toka kwa Waziri Mkuu.
Na Issa Michuzi.

0 comments:

Post a Comment