SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 14, 2010


Rais Jakaya Kikwete akutana Wasanii Nyota wa Bongo Fleva Dodoma
JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao watatumbuiza wikiendi hii kwenye Fiesta 2010. Jana JK aliwaalika Ikulu Ndogo ya Chamwino na kupata nao dina la mchana
JK akisalimiana na Chegge
JK akisalimiana na Fid Q JK na Cpwaa JK na Mh. Temba JK akipeana mikono na Dully Sykes JK na MwanafalsafaJK na Barnaba wa THT JK na wasanii JK akisalimiana na Fellah, kiongozi wa Wanaume TMK JK na mwamba wa Kaskazini JK na Kalapina wa TMK Wanaume JK akisalimiana na Marlaw JK akisalimiana na msanii wa THTMama Salma Kikwete akimsalimu Marlaw Mama Salma Kikwete akisalimia wasanii Ni wakati wa maakuli
na issamichuzi blog

0 comments:

Post a Comment