SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, June 20, 2010

Tapeli latiwa Nguvuni!!!

Askari Polisi wa Kituo cha Chang’ombe jijini Dar es Salaam wakiwa wamemdhibiti mtu anayedaiwa kuwa ni tapeli aliyejifanya Mfanyakazi wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) ‘Kishoka’ aliyefahamika kwa jina la Juma Nkondola, aliyekamatwa katika eneo la Yombo Dovya, wakati akijaribu kutapeli katika nyumba ya mkazi wa eneo hilo. (Picha na Fadhili Akida)

0 comments:

Post a Comment